Wafanyabiashara nchini Kenya waathiriwa na kupanda gharama za maisha

Your browser doesn’t support HTML5

Kupanda kwa gharama za maisha nchini Kenya kumezidi kuwaathiri wafanyabiashara wadogo wengi wakilazimika kutumia akiba yao kuendelea kubaki kwenye soko.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari