Wafanyabiashara waitaka EAC kuweka vikwazo kwa nchi zitakazo kiuka mkataba wa jumuiya

Your browser doesn’t support HTML5

Mzozo wa kibiashara baina ya mataifa wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki umesababisha wafanyabiashara kuitaka jumuiya hiyo kuweka vikwazo dhidi ya nchi zitakazo kiuka mkataba wa Afrika Mashariki.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari