Wakazi 2.5 Sahel waathiriwa na mapinduzi yaliyotokea Mali na Burkina Faso
Your browser doesn’t support HTML5
Wakazi wa eneo la Sahel takriban milioni 2.5 waliokoseshwa makazi kwa sababu ya mapigano wengi wao wameanza kukabiliwa na athari za mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea Mali na Burkina Faso.