Wakazi wa Goma wapanga maandamano kushinikiza jeshi la Monusco liondoke DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, wapanga maandamano na kusababisha biashara kufungwa ikiwa ni hatua ya kutaka jeshi la Monusco liondoke nchini humo.

- Idadi ya watu walioambukizwa na virusi vya Ebola yazidi kuongezeka Uganda

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari