Wakenya waendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi mkuu

Your browser doesn’t support HTML5

Wakenya wanaendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Jumanne huku kukiwa na taarifa za mkanganyiko kutoka baadhi ya vyombo vya habari.

Wakenya waendelea kubakia nyumbani kwa siku ya pili huku shughuli nyingi zikiwa zimefungwa wakisubiri matokeo ya uchaguzi wa rais.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.