Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Wanahabari Afrika Mashariki bado wanatafuta uhuru katika utendaji kazi
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati dunia inaadhimisha Siku ya Uhuru wa Habari Duniani, wanahabari nchini Afrika Mashariki, Jumanne, wameeleza kuwa bado wanasaka uhuru katika utendaji kazi yao, wakieleza jinsi uhuru wao ulivyominywa.