Wananchi wa Kenya kumchagua rais wa taifa la Kenya Jumanne

Your browser doesn’t support HTML5

Zimebaki saa chache kwa wananchi wa Kenya kutumia haki yao ya kikatiba katika uchaguzi mkuu wa urais 2022 utakaofanyika Jumanne.

Jumuiya ya Kimataifa yafuatilia kwa ukaribu uchaguzi wa Kenya.

Maafisa wa uchaguzi waeleza wako tayari kwa zoezi la uchaguzi litakalo fanyika kwa haki, usawa na amani...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.