Wananchi waitaka serikali kudhibiti ongezeko la bei ya petroli na dizeli

Your browser doesn’t support HTML5

Ongezeko la bei ya mafuta ya petroli na dizeli nchini Tanzania limelalamikiwa na wananchi wakiitaka serikali kuchukua hatua za kudhibiti hali hiyo huku watoa huduma za usafiri wa umma wakitaka ongezeko la nauli.

Mamlaka za Kenya zinawapatia mafunzo wafanyakazi wa nyumbani wanakubali kufanya kazi Mashariki ya Kati kuhusu haki zao.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari