Wanawake wafanyabiashara wanataka kuondolewa kwa vikwazo vya kibiashara dhidi yao

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake wafanyabiashara wanataka kuondolewa kwa vikwazo vya kibiashara hasa vinavyo husiana na tofauti za kijinsia, sambamba na vile vinavyoweka mazingira magumu ya kibiashara baina ya mataifa ya Afrika.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari