Watu zaidi ya 300 wahofiwa kufariki kutokana na mafuriko ya Mto Congo

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya watu 300 wanahofiwa wamefariki kutokana na mafuriko makubwa kuwahi kutokea kwa miaka sitini katika Mto Congo na kusababisha maafa makubwa kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Jamhuri ya Kongo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari