Waziri Blinken aelekea Nigeria

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken akamilisha ziara ya Kenya na yuko njiani akielekea Nigerią.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari