Duniani Leo Waziri Mkuu atangaza kuongoza vita dhidi ya TPLF 23 Novemba, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed atangaza kuongoza mapambano kukabiliana na wapiganaji wa TPLF. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari