Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Blinken akutana na mwenzake wa Misri
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na mwenzake wa Misri huko Cairo kufanya mazungumzo yanayolenga mgogoro wa Israel na Hamas.