White House inasema idadi ya vifo vya COVID-19 Marekani imevuka zaidi ya milioni

Your browser doesn’t support HTML5

White House inasema, idadi ya vifo kutokana na COVID-19 hapa Marekani, imevuka na kuwa zaidi ya milioni. Rais wa Marekani amesema nchi imefikia “ hatua ya kusikitisha” na kila kifo ni hasara isiyoweza kubadilishwa.”

- Mzozo wa Ukraine umevuruga usammbazaji chakula na bei ya bidhaa duniani, ameeleza Rais Biden.
- Maoni tofauti yanaendelea kuibuka baada ya kamati kuu ya chama cha upinzani Chadema kuwavua uanachama wabunge 19 wa chama hicho.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari