WHO yaeleza virusi vya Omicron vinaua

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Afya Duniani, WHO, limeonya virusi vya omicron vinasambaa kwa kasi sana na kuwa vinauwa.
Marais wa China na Russia wamesema uhusiano kati ya nchi hizo mbili ndio wa kuigwa katika karne hii.

Kambi kuu za waasi wa ADF zashambuliwa na majeshi ya Uganda na DRC.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari