Zaidi ya watu 70 wafariki katika ajali ya moto Johannesburg

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya watu 70 wamefariki baada ya jengo la ghorofa tano kuungua moto mjini Johannesburg, Afrika Kusini.

Viongozi wa Afrika walikuwa wanafanya kazi leo kuwajibu viongozi wa kijeshi waliomtimua madarakani Rais Bongo wa Gabon.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari