ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Idadi ya vifo kutokana na maporomoko ya ardhi ya Uganda yafikia 13.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.