ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Shirika la misaada ya matibabu MSF linasitisha operesheni zake nchini Sudan kutokana na ukosefu wa usalama huku utapiamlo ukiongezeka.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.