ratiba ya matangazo
06:00 - 06:29
Babaka mwanariadha bingwa wa Marathon Kelvin Kiptum wa Kenya ataka uchunguzi wa kina kubaini kilichosababisha kifo chake
Akizungumza na waandishi wa habari, babake mwanariadha bingwa wa Marathon Kelvin Kiptum wa Kenya alieleza mashaka kuhusu ripoti ya jinsi ajali ya barabarani ilivyomuua mwanawe na akataka uchunguzi wa kina kubaini kilichosababisha ajali hiyo.
19:30 - 19:59
Baraza la Senate la Marekani laidhinisha msaada wa takriban dola 90 kwa Ukraine, Israel na Taiwan.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.