ratiba ya matangazo
19:30 - 20:00
Africa-CDC imetangaza ugonjwa wa MPOX umeingia katika kiwango cha hali ya dharura kwa afya ya umma barani Afrika.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.