ratiba ya matangazo
19:30 - 20:29
Mjandala wa Live Talk kuhusu idadi kubwa ya wanafunzi wanaokosa kuhudhuria masomo kutokana na ukosefu wa usalama barani Afrika.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Marekani imetangaza kwamba inaunga mkono Afrika kutengewa viti viwili vya kudumu katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.