ratiba ya matangazo
06:00 - 06:29
Mswada ambao huenda ukaipiga marufuku TikTok Marekani wapitishwa na Baraza la Wawakilishi
Baraza la Wawakilishi la Marekani, Jumatano liliidhinisha mswada, wa kuilazimisha programu maarufu ya mtandao wa kijamii, TikTok, kujitenga na kampuni mama, inayomilikiwa na China, ya ByteDance au kuuza sehemu ya programu hiyo kwa Marekani.
19:30 - 19:59
Wagonjwa watatizika nchini Kenya kufuatia mgomo wa kitaifa wa madaktari kuanza Alhamisi.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.