Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Vijana wa Uganda walalamikia tozo mbalimbali wakisema ni vizingiti kwa wanaotaka kuanzisha biashara ndogondogo
Wasiwasi watanda katika jimbo la Kivu Kusini, DRC, baada ya watu 18 kuuawa na watu wanaodhaniwa kuwa waasi wa ADF
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.