ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Uchunguzi waendelea kuhusu jaribio mauaji ya bunduki dhidi ya rais wa zamani wa Marekani Donald Trump.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.