ratiba ya matangazo
21:00 - 21:29
Utaratibu unaotumika kupata kura 270 ambazo zinahitajika kwa mgombea urais Marekani kuweza kushinda uchaguzi mkuu wa Novemba 5 mwaka huu.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.