ratiba ya matangazo
19:30 - 20:00
Wapatanishi wa kimataifa wanafanya mazungumzo huko Qatar yenye lengo la makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.