ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Shambulio la Israel kusini mwa Beirut linasababisha kifo cha mkuu wa mawasiliano wa Hezbollah
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.