Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Mahakama ya juu Kenya yasimamisha uamuzi wa mahakama ya chini kuhusu sheria ya fedha ya mwaka 2023
Kongamano la chama cha Democratic Marekani laanza mjini Chicago