ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Rais Azali wa Comoros ameongoza mkutano wa Baraza la Mawaziri ikiwa ni mara ya kwanza kuonekana hadharani tangu kushambuliwa na kujeruhiwa.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.