ratiba ya matangazo
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Waalimu wa KUPPET nchini Kenya wamesitisha mgomo wao ulioanza Jumatatu wiki iliyopita na wapo tayari kufanya mazungumzo mapana na serikali.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.