Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mtoto wito watolewa kutatua changamoto zao
Mpinzani wa Museveni afikishwa kwenye mahakama ya kijeshi Uganda
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.