intofahamu yaendelea Ukanda wa Gaza licha ya Hamas kusema wataridhia pendekezo la sitisho la mapigano
Mchakato wa kuwaajiri wanajeshi waanza Uganda huku kukiwa na malalamiko ya dosari katika baadhi ya maeneo
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Maoni ya wachambuzi kuhusu hatua ya mwendesha mashtaka wa ICC kutaka kutolewe hati ya kumkamata Netanyahu