Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Darfur imepata kiwango cha msaada kupitia mpaka wa Adre kutoka Chad
Athari za vita vya Russia na Ukraine kwa Afrika