ratiba ya matangazo
19:30 - 20:29
Mjadala wa Live Talk kuhusu siasa za Marekani kuelelekea kwenye uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.