Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Msanii wa Tanzania Ali Ramadhani-AT azungumzia kibao chake kipya
Meza ya Waandishi yaangazia konamano la chama cha Demokratik Marekani, Mlipuko wa Mpox na mzozo wa Wamaasai wa Ngorongoro
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.