ratiba ya matangazo
06:00 - 06:30
19:30 - 19:59
Israel inasema jeshi lake limetayarisha mpango wa kuwahamisha wakaazi wa Gaza kabla ya uvamizi unaohofiwa huko Rafah.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.