Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Wasicahana waaswa kuchangamkia fursa za ajira melini
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Taharuki yatanda Mashariki ya Kati baada ya israel kushambulia ngome za Hezbollah