ratiba ya matangazo
16:30 - 16:59
Moso Pal msanii kutoka Samburu, Kenya atowa wito kwa vijana kukuza utamaduni wao ili kudumisha amani katika jamii zao.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.