ratiba ya matangazo
19:30 - 20:00
Mafuriko yataabisha watu wa Sudan katika mkoa wa mwambao wa bahari ya Sham
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Ongezeko la visa vya ajali za barabarani nchini Tanzania ni uzembe wa madereva na pia adhabu ndogo inayotolewa kwa waliosababisha ajali hizo
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.