ratiba ya matangazo
16:30 - 17:00
Michuano ya walemavu 2024 katika fani mbali mbali inaendelea kushika kasi Paris nchini Ufaransa ambapo pia timu kutoka Afrika zinashiriki.
Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
19:30 - 20:29
Mgomo wa waalimu Kenya bado unaendelea huku baadhi ya wazazi wakiomba serikali kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.