ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Chama cha madaktari na wauguzi cha Kenya chatoa ilani ya siku 7 kwa serikali, kabla ya kuitisha mgomo wa kitaifa.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.