ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anaapa kuweka vikwazo vya uhalifu kuhusu ghasia za mrengo wa kulia zilizozuka nchini mwake.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.