ratiba ya matangazo
19:30 - 20:00
Makamu Rais wa Marekani Kamala Harris ambaye ni mgombea urais wa Marekani amemtaja gavana Tim Walz wa Minnesota kuwa mgombea mwenza wake.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Kamala Harris amtangaza gavana wa Minnesota, Tim Walz, kuwa mgombea mwenza wake kwenye uchaguzi wa Marekani wa Novemba
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.