ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Vijana wakutana kwenye bustani ya Uhuru jijini Nairobi, ili kuwaenzi wenzao waliokufa kwenye maandamano ya hivi karibuni.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.