ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua anayekabiliwa na mashtaka 11 amefika mbele ya bunge na kukanusha madai, akidai yamechochewa kisiasa
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Raia wa Msumbiji milioni 17 wamejiandikisha kupiga kura Jumatano huku nchi ikiwa na changamoto za ukosefu wa usalama na chakula.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.