ratiba ya matangazo
19:30 - 20:00
Polisi wa Nairobi wametumia gesi ya kutoa machozi kutawanya waandamanaji wanaoipinga serikali ya Rais Ruto wa Kenya wakimtaka ajiuzulu
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.