Mji mkuu wa biashara wa Gabon, Port-Gentil umepokea timu za kundi D katika finali za kuwania Kombe la afrika 2017. Mashabiki wa Mali, Ghana, Uganda na Misri walivamia mitaa ya mji huo kuanzia Jumanne timu zao ziliposhuka uwanjani.
Mji wa Port-Gentil wakaribisha Kombe la Afrika 2017

5
Shabiki wa Ghana katika mji wa Port-Gentil Januari 17, 2017.

6
Shabiki wa Ghana katika mji wa Port-Gentil Januari 17, 2017.

7
Shabiki wa Ghana katika mji wa Port-Gentil Januari 17, 2017.

8
Un vendeur se promène dans les rues de Port-Gentil avant le match du groupe D, au Gabon, le 16 janvier 2017. (VOA/ Timothée Donangmaye)