Dawa za Kulevya: Wasichana na janga la uhalifu Kenya (Namba 1)
Kwenye sehemu ya pili na ya mwisho katika makala inayohusu wasichana wachanga jijini Nairobi nchini Kenya walivyojiingiza katika mtego wa uhalifu kutokana na athari ya dawa za kulevya, umaskini na shinikizo la wanarika na hata kutumia bunduki kuwapora wananchi, tunakueleza jinsi wasichana hawa walivyonusurika kutoka kwa uhalifu na ujambazi huo, changamoto walizozipitia na pamoja na jinsi vituo vya kurejesha tabia na mashirika ya kijamii yanavyoimarisha juhudi za kuwarudi wasichana hao ambao wengine wao wametelekezwa na familia zao. Tujiunge na Mwandishi wetu wa Nairobi,Kennedy Wandera...
Matukio
-
Julai 28, 2023JARIDA LA WIKI JULY 29 2023
-
Agosti 24, 2021Kenyatta ashauri makamu wake ajiuzulu
-
Februari 23, 2021Tundu Lissu amkosoa Magufuli
-
Februari 23, 2021Lisu amkosoa Magufuli kuhusu Covid-19