Ibada ya mazishi ya kiserikali yatafanyika katika Kanisa la kitaifa jijini Washington, DC Jumatano, na kufuatiwa na maziko Alhamisi katika eneo la maktaba yake ya urais huko Texas
Mwili wa Rais mstaafu wa Marekani ukiagwa kwenye ukumbi wa Bunge la Marekani
Waombolezaji watoa heshima zao za mwisho mbele ya mwili wa Rais George H.W. Bush ambao umelazwa kwa heshima za kitaifa katika ukumbi wa bunge la Marekani

5
Sully, mbwa msaidizi wa Rais mstaafu wa Marekani George H.W Bush, akiwa amesimama pembeni ya familia ya Bush katika kituo cha kijeshi cha Andrews huko Maryland, Desemba3, 2018.

6
Watu waliojitokeza kuja kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais mstaafu wa Marekani George H.W. Bush ulioko katika jeneza lililofunikwa na bendera ya Marekani uliokuwa umewekwa katika ukumbi wa Rotunda, Washington, Jumanne, Desemba. 4, 2018. (AP Photo/Patrick Semansky)

7
Kutoka kushoto, Makamu wa Rais mstaafu Dan Quayle, Waziri wa Mambo ya Nje mstaafu James Baker III, Makamu wa Rais mstaafu Dick Cheney, na Waziri wa Mambo ya Nje mstaafu Colin Powell, wakiwasili katika ukumbi wa Rotunda, ulioko katika bunge la Marekani, Washington, kuhudhuria shughuli za kuuwaga mwili wa Rais mstaafu George H.W. Bush.

8
Jeneza la aliekuwa Rais wa Marekani