Rawlings aliyefariki November 12, 2020, atakumbukwa kama kiongozi aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi nchini humo, mara mbili na baadaye kuleta mfumo wa demokrasia kwa taifa hilo la Afrika Magharibi.
Rais wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings afariki akiwa na umri wa miaka 73
- Abdushakur Aboud
Kiongozi wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings, atakumbukwa kwa kudumisha demokrasia na kuleta utulivu nchini mwake pamoja na kukuza uhusiano wa kimataifa.

9
Mshindi wa Nobel ya Riwaya wa Nigeria Wole Soyinka na rais wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings

10
Emeka Anyaoku katibu mkuu wa zamani wa Commonwealth na rais wa zamani wa Ghana Rawlings

11
Jerry Rawlings mjumbe wa UN Somalia akikagua wanajeshi wa Uganda katika kikosi cha AMISOM Mogadishu

12
Michael Jackson amkabidhi Rais Jerry Rawlings upanga wa dhahabu kutoka mwanamfalme Alwaleed